When a Kenyan write news about Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
42,685
2,000
China Exim Bank Agrees to Lend Tanzania $7.6 Billion for Railway

Felix Njini FelixNjini
July 20, 2016 — 6:18 PM CEST
Share on FacebookShare on Twitter

Share on FacebookShare on Twitter

Export Import Bank China will lend Tanzania $7.6 billion for a railway that will help the East African nation’s landlocked neighbors including Burundi, Rwanda and Uganda transport goods to its port on the Indian Ocean, a government official said.

Tanzania and Exim Bank China will finalize “technical issues on the contract” and sign the financing deal for the 2,200-kilometer (1,367-mile) project soon, Gerson Msigwa, a spokesman for Tanzania’s presidency, said Wednesday by phone from the capital, Dodoma. The standard gauge line will become a major trade artery between Tanzania and its landlocked neighbors, he said.

Tanzania is a “reliable borrower” and the railway line to the commercial capital, Dar es Salaam, will lift the economies of other countries in the region, including the Democratic Republic of Congo, President John Magufuli said in an e-mailed statement. Construction may begin this financial year, he said.

The East African nation is the continent’s fifth-biggest gold producer and has estimated reserves of 58 trillion cubic feet of natural gas being developed for export by companies including Statoil ASA and BG Group Plc.

MY TAKE
Is the name of the writer betraying seeing Tanzania has her right place on global ranking? Tanzania is the 3rd gold producer in the continent after South Africa and Ghana! Mali production has dropped with the terrorism ravaging the country
 
Koborer

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,020
1,225

I saw this story in a West African publication. I am not sure if the original version is by Kenyan writer.
Anyway, does it matter if you are fifth or first? I thought what matters is the viable quantity and revenue. Not so?
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
42,685
2,000
I saw this story in a West African publication. I am not sure if the original version is by Kenyan writer.
Anyway, does it matter if you are fifth or first? I thought what matters is the viable quantity and revenue. Not so?
That's a kenyan
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Speed.
La sivyo kama speed zitakuwa zilezile what's the whole point?
Si tungeboresha tu hii reli iliyopo?

Treni ya umeme haihusiani na spidi paase, unaweza ukawa na diesel engine na bado utapata mpka 200km/saa, lkn hilo siyo muhimu kinachoamua spidi ya treni siyo kama inatumia umeme au diesel bali ni aina ya reli unayojenga, hivyo kama unajenga ya 80km/saa hata uweke umeme hauwezi kwenda zaidi ya hapo, lkn nafikiri ya kwetu itakuwa 120km/saa na hiyo kwa kiwango chetu ni spidi nzuri kabisa na inatosha! hilo ndiyo la muhimu kwamba Reli yetu itaruhusu spidi kiasi gani?
 
Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,928

Haya mambo ya kujenga reli mpya often hua more expensive than can be economically justified.
Speed ya 120km/saa ni achievable hata kwa hii narrow gauge rail iliyopo sasa hivi, on a diesel train. The thing is SGR inauwezo wa kubeba mizigo mingi zaidi at the same speed na narrow gauge. Sasa, swali linakuja. Are we building a new SGR coz hiyo iliyopo imezidiwa mizigo?
What will be done to boost rail carriage of mizigo, given that reli itakuwa inashindana na the well politically connected trucking business? Benki ya dunia ilishazuia nchi kuprotect rail haulage against road.
Tumewashambulia sana wakenya kwamba reli yao ni too expensive lakini na sisi can we justify this investment?
Mi ningeunga mkono kama ingekuwa electric SGR inayosupport high speed passenger and cargo trains. By high speed i mean 180-240 km/hr.
 
oneflash

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
659
1,000
Easy, That seems a honest mistake, nothing of what u are insinuating was really intended.
Googling about the writer, he seems to be from southern Africa, not really a Kenyan.
Worry not Iconoclastes, the man has been 'overrun' by a disease commonly known as 'Kenya phobia'.
 
Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,516
2,000
MY TAKE
Is the name of the writer betraying seeing Tanzania has her right place on global ranking? Tanzania is the 3rd gold producer in the continent after South Africa and Ghana! Mali production has dropped with the terrorism ravaging the country
Kwanza gold production ya Tanzania inahusiana nini na hii reli?
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Ni muhimu, ili iwe na kasi zaidi, kwa kurahisisha usafiri na kupunguza muda wa njiani

Huwo ni upotoshaji mkubwa, sababu kuu ya treni kutumia umeme siyo spidi, kwani unaweza kwenda spidi kubwa tu na ya kuridhisha kwa kutumia diesl engne, zipo treni nyingi zinatumia diesel na unapata mpaka 200 km/saa na zinatumika Duniani kote pamoja na cnhi zilizoendelea nyingi tu zinatumia bado pamoja na umeme pia diesel engines!!

Sababu kubwa ya kutumia Umeme kwenye treni ni gharama ya uendeshaji pmj na kupunguza uchafuzi hewa ya chokaa unaoletwa na diesel!

Lakini sasa ni lazima uwe na umeme wa uhakika na mwingi sasa sisi tuna MW 1 500 tunawezaje kuendesha treni masaa 24 na hapa hapo shughuli nyingine kuendelea kama kawaida?
Ili tuweze kutumia Treni ya umeme nchi inahitaji anagalau MW 40 000 hapo ndiyo tutakuwa na uhakika kwamba Treni inafanya kazi na bado Viwanda pia vinapata umeme na vinafanya kazi na majumbani na maofisini pia!
 
Weweeee MW 40,000!
Hapo umetupiga changa la macho.
Normal train feeder lines ni za 25kV.
Gesi tunayo. With $7.6 bill tunashindwa nini kutenga hata $600 million kutengeneza kakiwanda ka umeme 1000MW maalum kwa ajili ya treni zetu?
Ningekuwa mshauri wa Magu hiyo reli sio lazima ijengwe yote kwa mkupuo. Kama Kenya. Phase one inatoka Dar inaishia Dodoma. Na inakuwa ni first class SGR yenye high speed electric trains za kubeba passengers mchana na mizigo usiku. Bandari kavu ya Dodoma inatumiwa kupakiza mizigo inayoendelea na safari kwenda Rwanda Burundi na Congo.
Then huko baadae tukipata hela tena tunaendelea na phase two.
 
Nilichomaanisha hapo ni kwamba ili tuwe na umeme wa uhakika hatutaki treni ikiondoka sisi jiko la umeme linazima, hivi unajua kwamba viwanda kama M.M Steel huwa vikiwashwa vinaathiri shughuli nyingine kwa kiasi gani?

Nafikiri mnafanya tu ushabiki lkn haya mambo hamyaelewi, haya ni mambo technical na siyo ya kuangalia kwenye TV na kutaka kuja kuyafanya hapa TZ, TZ hatuna uwezo wa kuelectrify train kwa sasa na sababu ni kwamba huo umeme haupo, nchi yenye watu milioni 40 ina MW 1500 tu halafu unaongelea kulectrify train?
Hata Kenya wenyewe hawatelectrify hiyo SGR yao, kwanza SGR ya Kenya haina spidi kubwa mwisho 120 km/saa, na siyo kama tunayotaka kujenga hapa kwetu!

Kwa kukusaidia tu AK wana watu milioni 40 kama sisi wana MW 40 000 na bado haitoshi wana matatizo ya umeme sasas hivi wanataka kwenda Nuclear!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom