E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 2, 2013 #1 [h=5]Paddy harvester model 4LZ-2.0 with cutting bar of 2360mm.USD 16432.45=26834190.85 Tanzanian Shilling[/h]
[h=5]Paddy harvester model 4LZ-2.0 with cutting bar of 2360mm.USD 16432.45=26834190.85 Tanzanian Shilling[/h]
gpblaze JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 304 Reaction score 14 Jun 2, 2013 #2 Tumia lugha ya kiswahili watu watakuelewa vizuri na haraka.
gpblaze JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 304 Reaction score 14 Jun 2, 2013 #3 Hcho kichwa cha habari ungeweka lugha ya kiswahili.au unalenga kuwauzia wazungu
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 944 Jun 2, 2013 #4 Mkuu gpblaze ngoja tumsaide huyu mtu. Jamani eeeh,hapa mkuu engmtolera anauza mashine ya kuvunia ngano na jamii zake,ila nadhani analenga kuwauzia wazungu au waswangilish! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu gpblaze ngoja tumsaide huyu mtu. Jamani eeeh,hapa mkuu engmtolera anauza mashine ya kuvunia ngano na jamii zake,ila nadhani analenga kuwauzia wazungu au waswangilish!
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,707 Reaction score 9,593 Jun 2, 2013 #5 Umetumwa enh? Unataka kutukosesha ajira au nini?
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 2, 2013 Thread starter #6 gpblaze said: Tumia lugha ya kiswahili watu watakuelewa vizuri na haraka. Click to expand... cha msingi picha inaongea zaidi ya maneno
gpblaze said: Tumia lugha ya kiswahili watu watakuelewa vizuri na haraka. Click to expand... cha msingi picha inaongea zaidi ya maneno
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 2, 2013 Thread starter #7 simplemind said: Umetumwa enh? Unataka kutukosesha ajira au nini? Click to expand... Kilimo kwanza,huitaji kuumiza kichwa ktk uvunaji-tuache mechanization ichukue nafasi yake ili kuondoa low productivity
simplemind said: Umetumwa enh? Unataka kutukosesha ajira au nini? Click to expand... Kilimo kwanza,huitaji kuumiza kichwa ktk uvunaji-tuache mechanization ichukue nafasi yake ili kuondoa low productivity
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 2, 2013 Thread starter #8 Agrobuz said: Mkuu gpblaze ngoja tumsaide huyu mtu. Jamani eeeh,hapa mkuu engmtolera anauza mashine ya kuvunia ngano na jamii zake,ila nadhani analenga kuwauzia wazungu au waswangilish! Click to expand... kilimo kwanza,mnapigwa bei kubwa,tunawaletea machine kwa bei nzuri mnalalamika.
Agrobuz said: Mkuu gpblaze ngoja tumsaide huyu mtu. Jamani eeeh,hapa mkuu engmtolera anauza mashine ya kuvunia ngano na jamii zake,ila nadhani analenga kuwauzia wazungu au waswangilish! Click to expand... kilimo kwanza,mnapigwa bei kubwa,tunawaletea machine kwa bei nzuri mnalalamika.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 944 Jun 3, 2013 #9 engmtolera said: kilimo kwanza,mnapigwa bei kubwa,tunawaletea machine kwa bei nzuri mnalalamika. Click to expand... Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana? Na jee,hiyo ya kuvunia mpunga naweza vuna acre ngapi kwa siku?
engmtolera said: kilimo kwanza,mnapigwa bei kubwa,tunawaletea machine kwa bei nzuri mnalalamika. Click to expand... Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana? Na jee,hiyo ya kuvunia mpunga naweza vuna acre ngapi kwa siku?
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jun 3, 2013 Thread starter #10 Agrobuz said: Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana? Na jee,hiyo ya kuvunia mpunga naweza vuna acre ngapi kwa siku? Click to expand... 1.hapana huwezi kuvunia mahindi,zipo za kuvunia mahindi,hii ni ya kuvunia mpunga na ngano 2. Working Productivity 0.2-0.5 hm2/h
Agrobuz said: Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana? Na jee,hiyo ya kuvunia mpunga naweza vuna acre ngapi kwa siku? Click to expand... 1.hapana huwezi kuvunia mahindi,zipo za kuvunia mahindi,hii ni ya kuvunia mpunga na ngano 2. Working Productivity 0.2-0.5 hm2/h