Leo nikiwa kwenye daladala nikamgusa jamaa aliyekuwa amekaa siti ya mbele na dereva ili apunguze sauti ya redio .Amegeuka akanipa elfu kumi;
nilishuka hapo hapo alijua mimi konda!
Angalau ana mwandiko mzuri sana!
Kuna wachaga wamezoea biashara kila mda wanawaza biashara tuu..ha hahaha
Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah
Angalau ana mwandiko mzuri sana!
Kiddy :- hello