supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
binafsi hua namuogopa sana mwanamke ambae haombi ela hua simuelewi anataka nini kwasababu akisema anataka mapenzi tu najua uongo
ni sawa na shetani akwambie bwana yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie amen au ukemee
Hasira hasara nimekusamehe bureasante kwa kufungua uzi huu umezawadiwa
HASIRA za ghafla!!!!!!!.
Kuna mtu kasema ananitumia Voice note"
Nimemwambia atume na ya kutolea
we mtundu sana, mkuu !!Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike.
Akamuuliza dk wa mifugo. "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "
Dk. " kwa wastani mara sita kwa siku "
Mke akamgeukia mumewe.- *" Unaona! ...."
Mume akajifanya hajasikia lolote.... kisha akamgeukia Dk. wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "
Dk. "Hapana, huwa anapanda majike tofauti...!!"
Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu... "Unaona!