supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Juzi nilisinziaa kanisani mara nkasikia jirani yangu ananimbia pembenii!mpendwa amkaa!!Nikasikiaa na mchungajii uko!! NYANYUKAA!!nikasimaama watu wakapigaa makofi
mchungaji😱ooh asanteh sana haya mwinginee anaetoaa million 2 kama mchangoo wa shughul za kanisaa??
my frend nilizimiaa ndo nimeshtuka sasa hivi
Madem mnavaa earings kwa masikio, mapua, ulimi, kitovu, sijui kwa uso.manecklaces ka mia mbili bangili mikononi handbag nayo ina makorokoro elfu2..sasa itokee ujikwae udondoke unatoa sauti kama kabati la vyombo limedondoka
BABA: we ulisema NECTA umepata ngapi?
MPONJI: One ya 9
BABA: Mi mbona nimeangalia hapa kwenye simu nimekuta three ya 15?
MPONJI: Hzo point 6 wamekata TRA kama VAT.
BABA : Pumbavuuuuu mkubwa ww
Tangu ni nunue blender maisha yamekuwa shwari! Ile kitu inanibamba nayo sana ni nikitaka kupika uji asubuhi naweka maji ya moto then natupia ugali wa jana hapo ndani.then drrrrrrrrrrr
UJI TUNAO HATUNA.!??