Whatsssssss!!!!!!!!!????

Kila nkienda kwenye harusi kuna wazee nikikutana nao wananiambia "bado wewe tu" kuoa

Na mimi leo nimekutana nao kwenye mazishi nikawambia bado nyie kufa
 
Juzi nilisinziaa kanisani mara nkasikia jirani yangu ananimbia pembenii!mpendwa amkaa!!Nikasikiaa na mchungajii uko!! NYANYUKAA!!nikasimaama watu wakapigaa makofi

mchungaji😱ooh asanteh sana haya mwinginee anaetoaa million 2 kama mchangoo wa shughul za kanisaa??

my frend nilizimiaa ndo nimeshtuka sasa hivi
 
Jamaa anapiga simu makumbusho ya taifa
Jamaa;haloo hapo ni makumbusho ya taifa?
Ofisi;ndio tukusaidie nini?
Jamaa;ok naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipotezea wapi?
Ofisi;pumbavu sana hiyo sio kazi zetu
Jamaa;sasa makumbusho mnakumbusha nini?
Ofisi;tunahifadhi mambo ya zamani
Jamaa; ahaa kumbe saa yangu mtakua nayo basi nitaipitia hapo
 
ujue kwamba nimeisoma nakuandikia kwa maneno ............. nine billion,eight hundred thirty six million,two hundred eighty seven thousand, six hundred thirty six only.
 
CHEKI HII YA PANYA
!
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi

Panya 1: *jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!

Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa

RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimia

Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
 
Hakuna kitu nilikuwa nachukia enzi za utoto kama card ya harusi inaletwa ukifungua unakuta hili neno
"WATOTO TUNAWAPENDA ILA HAWARUHUSIWI"
 
Nina furaha na amani ya hali ya juu! HAPPY HAPPY JOY JOY. ..LOL
 
ha haha pesa kitu ingine hata nikiwa nipo tungi huwa inakata ghafla
Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa
kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita
binti mmoja akamsogelea yule mke wa
jamaa akamnong'oneza:- "AKULIPE KABISA KABLA
HUJALALA NAYE, NI MGUMU KULIPA HUYOO!!
 
Maisha bhana huwa nayo hayapendagi ujinga kabisa...!!!
mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku, ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi)...kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabsaa (unazurura tu)

 
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti, wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa akatokea pale pale
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea
wakamjibu,,
"..tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa
nae akakaa kusubiri kiberiti.

Walisubiri, wakasubiri, wakasubiri...
Wakasubiriiiii, mpaka sasa hivi nimewaaacha wanasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…