supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Shehe anahubiri kanisani???Shehe mmoja alikuwa akihubiri kanisani mara akamuona muumini mmoja akilia kwa uchungu sana. Shehe akajua yule mama amechomwa na mahubiri yake, akazidi kuongeza dozi, baada ya mahubiri shehe akamuita yule jamaa amuulize ni kipi kilichomfanya alie sana. Yule jamaa huku akiendelea kulia akasema; yaani kila
nikiziona hizo ndevu zako
namkumbuka mbuzi wangu
beberu aliyeibiwa, napata
uchungu mno mpaka naishia kulia tu
Shehe anahubiri kanisani???
Hii ni sawa na Christmas iwe mwezi June
Kabla sijakujibu hebu nambie kwanza leo ni jumangapi??
nimeshairekebisha mkuu, nimechelewa kupost vichekesho asubuhi leo.
-Kwanza sasa hivi saa ngapi
Mkuu asante sana kwa vichekesho unavyo share nasi humu.NAWAKUMBUSHA TU VIJANA
Hakuna binadamu anayeshika ujauzito haraka kama house girl
Hawapendagi ujinga
Thanks tooMkuu asante sana kwa vichekesho unavyo share nasi humu.