Baba nae yummooooooh..!!DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a very good kweshen kwa kweli I am praud of you, you see mwanangu,
mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa just a simpo kweshen, yaani swali dogo sana basi huanza kulinyumbulisha na kuongeza mofimu na fonimu katika hilo swali,
kuanza kutafuta, tena infact bila mantiki yoyote basis ya swali,na baada ya hapo kufanya mchanganuo na hati mae kukam up na solushenz ambazo in prinsipo hazikuweko katika swali husika kiasi cha kwamba aliyeuliza swali anakuwa haelewi hata kitu, umeelewa??
DOGO: Hapana
Hahaaaaaaaaa...!!!KUJIZOESHA KUANGALIA MIELEKA NOMAA!!. Mtoto katoka usingizini kakuta babake yupo juu ya mama yake, miguu ya mama imekunjwa kuelekea kichwani, dogo akajua hii ni mieleka LIVE bila refa, Akaanza kuhesabu huku akipiga godoro! PAA! 1, PAA! 2, PAAAA!!! 3. Akamnyanyua dingi mkono,mzee umeshinda ila siku nyingine uvae pichu.
View attachment 436953
Na mshikaji boya,hajui kwamba laini inachomekwa na kuchomolewa kwenye simu yoyote, tena siku hizi inachooonnggwaaaaaa...!!DEMU: ni kwa kiwango gani unanipenda beby
JAMAA: nakupenda sana, mapenzi yangu kwako hayapimiki kwa kitu chochote
DEMU: niambie beby jaman
JAMAA: mimi ni simu na wewe ni laini ya simu, bila laini simu haiwezi kufanya kazi beby
DEMU: asante beby jaman
JAMAA: (kimoyomoyo) nashukuru Mungu hajagundua kwamba simu za kichina zinatumia laini mpaka 3.
Na mshikaji boya,hajui kwamba laini inachomekwa na kuchomolewa kwenye simu yoyote, tena siku hizi inachooonnggwaaaaaa...!!
Hahaaaaaaa....!!!