supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Idea ngumu sana hii,Baada ya kufunga ndoa siku ya pili wakapelekana kwa hakimu...
Hakimu akawauliza nini tena?
MKE AKASEMA:
Mi nilifikiri iko hivi
==========>
Ama hivi
=======>
Kumbe iko hivi
==>
Bora talaka tu...
MUME NAE AKASEMA:
Nami nilifikiri iko hivi
( )
Ama hivi
( ___ )
Kumbe iko hivi
(______)
Bora nimpe talaka.
Sipendagi Ujinga mimi
We jamaa kibookkoo,Kuna jamaa moja alienda kuiba kuku alipoona anafuatwa akakimbilia mtoni.
Halafu jamaa kufika mtoni akamtoa kuku manyoya kisha akamrusha kwenye maji.. Watu walipofika wakamuuliza: kuku yuko wapi!?.
Mwizi: kaenda kuogelea yule kule amenipa nguo zake nimshikie akawaonesha manyoya
Yalaaaaahh ..!!Baba, mama na mtoto wao wamelala, ghafla usiku
MTOTO: mamaa nataka nikakojoe
MAMA:chukua tochi
mtoto akanyoosha mkono anatafuta tochi kumbe baba kalala uchi mtoto akashika naniihino ya baba yake akidhani tochi.
BABA(kwa kuzuga):we acha hiyo haina betri.