HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU KIDATO CHA SITA SAA 12ASUBUHI
BABA; baba, unaamka sasa
hivi au unalala lala kidogo
MTOTO; Hapana baba nimechoka nitaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia SCANDAL
BABA; Haya baba basi kuna elfu 30 nimemuachia mamaako kama utajiskia kutoka utaitumia kama nauli
MTOTO; Baba si uniachie zile funguo za rav4!!
BABA; Haina tatizo utaenda kuchukua pale chumbani kwangu usipoziona mwambie mamaako akupe, halafu sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.
SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WA 4 NA 0 SAA 12 ALFAJIRI
BABA: We nguruwe umelala tu mpaka saa hizi ivi unajua bei ya hilo godoro, kazi kupata maziro tuu kwa kulala lala lione, hebu amka unioshee gari niende kazini nyambafu wee