Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa.
MDADA 1: najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta rangi la lipstick kwenye kola ya shati lake.
MDADA 2: hata wangu nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote halafu nikazirudisha kwenye mfuko.
MDADA 3: ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia.
Kuna jamaa alienda kupiga stori kwa mshikaji wake.
Mara mvua kubwa ikawa inanyesha,mshkaji wake akamwambia huyo jamaa " itabidi ulale hapa sebuleni mpaka kesho kwakua mvua ni kubwa inanyesha." jamaa akakubali.
Yule mwenyeji akaingia chumbani kama dakika 10 halafu ile kutoka sebuleni akamkuta jamaa kalowa tepetepe... Akamuuliza " vipi mbona umelowa?"
jamaa akajibu " nilienda kuchukua shuka nyumbani."
Kaka upo vizuriBAADHI YA RAFIKI ZAKO WAMESHAOLEWA
WE UNAENDELEA KUSEMA ALL MEN are PLAYERS.
KAMA NI PLAYERS SUBIRI UOLEWE NA REFA