Demu Flani Alipigiwa Simu Na Namba Ngeni
Namba Ngeni: Halooo Mrembo
Vipi Una Boi Friend?
Mrembo: Ndio Ninae Kwani We Nani?
Namba Ngeni: Ni Mimi Baba Yako Kumbe Una Boi Friend Eeeeeeh Nikirudi Utakoma...
*Baada Ya Dakika Tano Namba Ngeni Ikampigia
Namba Ngeni: Haloo Mrembo Una Boi Friend?
Mrembo: Hapana Sina Kwani We Nani?
Namba Ngeni: Ni Mimi Boi Friend Wako Kumbe Umenisaliti?
Mrembo:Hapana Nilijua Ni Baba Yangu.
Namba Ngeni: Ni Mimi Baba Yako Kumbe Ni Kweli Subiri Nirudi.