madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Demu: Unafanya Kazi gani?
Jamaa: Unaifahamu Whatsapp?
Demu: Hapana, nini?
Jamaa:Ni Kampuni kubwa sana duniani yenye wateja wengi sana, zaidi ya milioni 300. Sasa mimi ni Admin wa Magroup
kama matano hivi pale Whatsapp.
Demu: Wow!!! Darling kumbe we mtu mzito hivyo jamani