Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Kama kawaida bosi hachoki kaanza kupiga spana modification za whatsapp akianza kwa kishindo na gb whatsapp na anakupa onyo la kwanzia saa moja ukikaidi anatafuna namba yako kutumika katika whatsapp,kaanza na gb,wale wa yo/fm/aero n.k wajiandae...