WhatsApp yangu

kakota

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
266
Reaction score
59
Habari wanajamvi na tumaini mko poa jamani naomba msaada kurudisha whatsapp yangu maana nikifungua ina niandikia hivi This version of whatsApp became obsolete on may 27,2015 tap "Dowload" to get the latest version
Your device's date (ina andika tarehe ya kila siku) if this is incorrect please correct your device's date settings then restart whatsapp. Nimejaribu ku download inagoma mb zinaisha tu hata zingekuwa 60 .Naomba msaada .maana mambo mengi yanani pita .watani jembe fanyeni yenu lakn msisahau kunipa msaada.
 
Hiyo wasap iliyopo kwenye simu ifute udownload upya toka Google store/play
 
Hiyo wasap iliyopo kwenye simu ifute udownload upya toka Google store/play

Asante mkuu lakn nimejaribu ina search tu .wala haioneshi kuwa ime download imefika kiasi gani mpaka chaji inaisha.
 
Jina ni TRADENO na model yake number L70

Ukiona whatsapp inakupa ujumbe huo maana yake hilo toleo limeisha muda wake, futa uweke mpya kutoka playstore.

Halafu inaonekana simu yako haikupi taarifa ikiwa kuna toleo jipya la programu, kwahiyo hakikisha unafanya marekebisho kupitia playstore kwa kubofya setting kwenye programu ya playstore na kuiruhusu ikupe notification pindi inapowekwa toleo jipya.
 
Huyo whatsapp hauku update siku nyingi chakudanya ingia play store kisha bonyeza menu yake alafu chagua my App kisha chagua whatsapp then angalia update option.......pia jaribu kuset time na date ya simu yako.
 

nenda sehemu ya kurekebisha tarehe kwenye simu,weka iwe inaji-update yenyewe kwa kufuata network/mtandao wa simu.
kisha futa hiyo app, download upya(kama umesha weka mpya basi acha hiyohiyo).
fungua hiyo app, fuata maelekezo...kazi imeisha.

kumbuka whatsapp huenda sambamba na tarehe na mda, ukivuruga hapo nayo unashindwa kufanya kazi.
 
Huyo whatsapp hauku update siku nyingi chakudanya ingia play store kisha bonyeza menu yake alafu chagua my App kisha chagua whatsapp then angalia update option.......pia jaribu kuset time na date ya simu yako.

Asante mkuu kwa mchango wako ngoja ni jaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…