Hiyo English niyakwako? Kama ndio nenda Kwa RAS simbawakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb .
sasa nimejarbu kudownload play store Whatsapp ya kawaida bado aifunguki
nimejaribu kuripoti tatizo kwa Gmail kwenda kwa Whatsapp wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .View attachment 2673068View attachment 2673067
1: Umeyaelewa majibu yao lakini?wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .View attachment 2673068View attachment 2673067
Unatumia Gb, Fm au Whatsapp ya kawaida?nipe maelekezo mkuu
Umejitakiawakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb .
sasa nimejarbu kudownload play store Whatsapp ya kawaida bado aifunguki
nimejaribu kuripoti tatizo kwa Gmail kwenda kwa Whatsapp wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .View attachment 2673068View attachment 2673067
Hapo sa sielewi. Ila cases hizi zipo kwa wanaotumia Fm na Gb. Kwa wengine hatujawahinilikuwa natumia Gb Whatsapp ndio imezingua kwaiyo nikaamua kudownload Whatsapp business ya play store lakn bado tatizo lipo
Lakini wenye wasapu yao wamemuelewa sasa ni kazi kwake kuyafanyia kazi waliyomuelekeza.Hiyo English niyakwako? Kama ndio nenda Kwa RAS simba
mkuu nilidownload Whatsapp gb ikawa inapiga kazi fresh imemaliza kama wiki mbiri ikawa imefungwa najarbu kudownload nyingine lakin wapi ikawa imeisha iyoLakini wenye wasapu yao wamemuelewa sasa ni kazi kwake kuyafanyia kazi waliyomuelekeza.
Ndugu mleta mada mimi pia ni mtoro natumia GB WhatsApp huu mwaka wa nne,sorry unaweza ku-share ilikuwaje mpaka ikafikia hatua hii ili wengine tujue namna ya kuiepuka?
Ulikosea kitu utakuwa uli-download old version hizo hukatizi mtaa wa pili unalimwa BAN kali sana nahisi ndiyo situation unapitia.mkuu nilidownload Whatsapp gb ikawa inapiga kazi fresh imemaliza kama wiki mbiri ikawa imefungwa najarbu kudownload nyingine lakin wapi ikawa imeisha iyo