Whatsapp yamuumiza kichwa

Whatsapp yamuumiza kichwa

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
907
Habari zenu wandugu. jana mdada kakuta picha (picha zinazotoka whatsapp na kubaki katika simu) ya uume halisi tena imepigwa huyo jamaa akiwa amelala chali nauume umesimama, umepigwa uume tu, na pale inaonekana ni chumbani ila wapi haijulikani.

Pia picha ina kagiza giza fulani hivi, so si rahisi sana mtu kutambua vitu vingine ila dushe limesimama mbele kabisa linaonekana.Binti kaja juu anauliza hiyo picha ni ya nani na kama ni ya whats up nani alituma au nani aliweka katika profile yako.

Jamaa nae anashangaa anasema mimi sijui hiyo ni ya whatsapp, wala sijui nani katuma, au la lini imeingia humo binti kamaindi, kanifuata nikamwambia, labda kweli hajui maana watu wanabadili sana picha. binti mgumu hadi sasa mgogoro na mpenzi wake, yeye anachoamini lazima anajua nani alituma hiyo picha hivyo anataka atajiwe.

Je ni kweli hapa inawezekana jamaa anajua ila anazuga tu, majibu yenu muhimu wakuu, labda nitapata jipya la kumueleza huyu binti, asimfikirie vibaya mpenzi wake.

NB: mdada huyu hajajiunga whatsapp, japo anajua na huwa anaangalia sana mambo mengi kupitia Whatsapp yake ya mpenz wake.
Picha hakuweza kupata mana ugomvi hadi sasa na hawezi kuichukua simu ya mpenzi tena.

Ushauri please.
 
huyo dada kwani mpenzi wake ni wa kike (wasagaji?)...anakuwa na wivu na picha ya dushe je angekuwa picha ya k? au bwanaake ni shoga?
 
Mhh sijaelewa mie hapa.. Yaani mwanamke amekuta picha ya mpododo kwenye whatsapp ac ya bwana wake..?
 
Zeddicus Zu'l Zorander
Asante ni wazo zuri sikuwaza, ila hiyo avatar vp tena
 
Last edited by a moderator:
sosoliso
Ndo hivyo mkuu anasema hajui lini imeingia wala nani katuma.
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa anafanya nn kwa simu ya mpenzi wake?
 
Kaizer
Alikuwa anaangali picha, ndo kuamua kuangalia nyingine zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Tamalisa
Gharama yake ndo hiyo akitaka picha angeangalia kwa simu yake unaona sasa yaliyomkuta ndio maana tunaaisitiza kila mtu na simu yake.
 
Last edited by a moderator:
Tamalisa We Muhongo.Ukitaka Tuamini Tafuta Picha Weka.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanashindwa kuelewa nn maana ya cm ya mkononi nadhani ukikaa chini ukatafakari sidhani kama utashika cm ya mpenzi wako
 
Ukitaka maisha ya wasiwasi na stress zisizoisha hangaika na simu ya mwenzio, maana kila kitu utatafsiri ndivyo sivyo maana hamuaminiani ndio kisa cha hata kuanza ufukunyuku.
 
Hicho ni kiherehere chake so she has to pay a price...Simu ni kwa matumizi ya mtumiaji wewe mgeni ukizamia ukakuta ambayo hukutarajia ni vema ukae kimya tu.Ingekuwa ni mimi hapo ningemuanzishia yeye mwenyewe kesi ya kwa nini anashika simu yangu.
 
some gals ovyo,ndo maisha cyapendi ya kukaguana cmu.
 
Back
Top Bottom