poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Namna ya kuangalia status ya mtu mwingine ndio siajajua. Hata wale ambao wameupdate whatsapp zao bado naona status zao zamani za maneno matupu.
Ukishaenda hapo kwenye status i means sehem imewndikwa my status utaona kuna kajicho hivi na namba pembeni then ukiclic hapo utaifungua hiyo pchako na utaweza kuona idadi ya watu waliview status ako na nani kaisview status ako

️?!..