WhatsApp waongeza uhondo wa status

WhatsApp waongeza uhondo wa status

Status za mipasho kwaheri....hii status ya ss wanaona contacts wako tu na unaweza kuwablock watu wasione vilevile....demu wa zamani kwaheri

Aiseeee et dem wa zaman kwaher
Plus wale wa mizinga kila kukicha
 
Dhaa!! Sass zle stutas za mipasho ndo bhas tenaa

Me yang s update ngoja
Niendelee kusoma mipasho ya madem zang
 
binafsi sijaipenda kabisa mana status ya maandish ndo iko poa, old version ingekuwepo ningeirudisha tuu
 
Mi nataka mtu akiku add kwenye group hadi u accept mwenyewe.
Mimi napenda kuwe na login and log out. Ili kupunguza kufungua data zinaingia sms ovyo ovyo, kupunguza Megabytes
 
Niliupdate picha zangu na video zilizokuwa ndani ya folder ya whatsapp ndani ya photo Gallery zikatoweka.

Kuna kitu nilikosea wakati ninaupdate?
Ukimaliza ku.update kuna meseji inaulizwa kama ungependa kufuta mabaki ya whatsapp iliyopita ? Kunakuwa na CANCEL &OK, basi ukigonga OK ujue umeumia, mi ilinipa tabu sana mwanzoni kila nikiupdate
 
me pia nataka nijue mtu anae view profile inakuaje
Ukishaenda hapo kwenye status i means sehem imewndikwa my status utaona kuna kajicho hivi na namba pembeni then ukiclic hapo utaifungua hiyo pchako na utaweza kuona idadi ya watu waliview status ako na nani kaisview status ako
Nisaidien namna ya kujua mtu aliechungulia profile yako
 
Back
Top Bottom