WhatsApp waongeza uhondo wa status

WhatsApp waongeza uhondo wa status

Yea naona wameongeza na baadhi ya emoji
maana mara ya kwanza walimuweka binti peke yake akidance saa hizi ni wote ni vyema wameona watutendee wote haki
Nimepata katika kila emoji wameweka jinsia zote wakifanya kitendo kimoja
 
Pia WhatsApp Imewakomesha wale wa Kusahau Status mpaka Leo Mtu ameandika

Happy New Year
Rest in Peace Sitta
Happy Nyerere Day

sasa status inakaa kwa Saa 24 tuu.
Hahaha hiyo Rest in peace Sitta imenichekesha hatarii
 
Pia WhatsApp Imewakomesha wale wa Kusahau Status mpaka Leo Mtu ameandika

Happy New Year
Rest in Peace Sitta
Happy Nyerere Day

sasa status inakaa kwa Saa 24 tuu.
Baada ya hiyo 24hrs inakuaje?
 
sijui ni mimi tuu ninayetumia windows phone au wote maana sioni watu waliopo watsapp ,i mean hakuna column ya favourites hapo ndo nahisi walipokosea kidogo maana sasa hv siwez Jua kama mtu huyu ninayemsave yupo watsapp au hayupo kirahisi mpaka nifanye kama namtext hivi
 
Dah! Niliona jana wasap yangu imebadilika nikaona chenga. Nafurahi zile status za michambo sasa hakuna tena.
 
Wawezeshe na ku-undo post. Ujinga unaotuma kwa makosa kwenye group au mtu unaemheshimu iwezekane kuufuta. Kama facebook ilivyo.
 
sijui ni mimi tuu ninayetumia windows phone au wote maana sioni watu waliopo watsapp ,i mean hakuna column ya favourites hapo ndo nahisi walipokosea kidogo maana sasa hv siwez Jua kama mtu huyu ninayemsave yupo watsapp au hayupo kirahisi mpaka nifanye kama namtext hivi
Nenda sehemu ya add chat yenye alama ya + utaona watu woote walio WhatsApp kwenye contact zako
 
Status za mipasho kwaheri....hii status ya ss wanaona contacts wako tu na unaweza kuwablock watu wasione vilevile....demu wa zamani kwaheri
 
sijui ni mimi tuu ninayetumia windows phone au wote maana sioni watu waliopo watsapp ,i mean hakuna column ya favourites hapo ndo nahisi walipokosea kidogo maana sasa hv siwez Jua kama mtu huyu ninayemsave yupo watsapp au hayupo kirahisi mpaka nifanye kama namtext hivi
Mbona hipo mkuu, ukiwa upande wa charts mkono wako wa kulia juu Kuna kama kiboksi ambacho kinaonekana kama n notification ya sms ukikatap hako Basi unaona watu wako.
 
Back
Top Bottom