๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ

View attachment 3302025

Watumiaji wa Whatsapp wataweza kukumbana na feature mpya inaitwa Advanced chat Privacy kwa kuboresha usalama kwenye chati na groups zako.

Feature hii mpya inapatikana kupitia setting zilizopo kwenye chati zako baina ya mtu na mtu pamoja na kwenye groups.

View attachment 3302027

Ukifanikiwa kuiweka on itaweza kukusaidia kuboresha usalama wa chati zako kupitia mambo yafuatayo;

โœ”๏ธ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.

View attachment 3302028

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kuhifadhi picha na video kwenye simu yake, kupitia kumzuia kuidownload na kuhifadhi kwenye kifaa chake.

๐Ÿ”• Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.
BINADAMU ANA AKILI SANA, WATU HAWAHANGAIKI NA ULICHOZUIA WANAKUWA NA SIMU MBILI, UKIWEKA VIEW ONCE ANAREKODI CONTENT YAKO NA SIMU NYINGINE
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Haina maana sana kwa sababu mtu bado anaweza kujitumia hiyo picha ama video kwenye namba yake na akabakia nayo. Usalama pekee kwenye mitandao ya kijamii ni kutokua na smartphone tu.
Kwenye update hii mpya inakuzuia ku forward kitu ulichotumiwa ikiwa Mtumiaji ataweza kuona on hiyo feature utashindwa ku copy , ku forward au ku save kwenye kifaa chako ๐Ÿ˜Œ
 
Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.
Haisaidii sana ila kidogo itapunguza kwa maana mtu anaweza akachukua simu nyingine akapiga picha hizo chat zenu na akatimiza adhma yake.
 
Wizo ujue ushakua wewe kwann unajitoa ufahamu lakini?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wizo afu kukua sio hoja.... Haki yangu ya kupewa BORROW iko pale pale msinifanyie hivo jamanii...mweehh

Kukua hiyo kwioo, kwani nina kisogo cha chumaa! Wizoo mfyuuu
 
๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ

View attachment 3302025

Watumiaji wa Whatsapp wataweza kukumbana na feature mpya inaitwa Advanced chat Privacy kwa kuboresha usalama kwenye chati na groups zako.

Feature hii mpya inapatikana kupitia setting zilizopo kwenye chati zako baina ya mtu na mtu pamoja na kwenye groups.

View attachment 3302027

Ukifanikiwa kuiweka on itaweza kukusaidia kuboresha usalama wa chati zako kupitia mambo yafuatayo;

โœ”๏ธ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.

View attachment 3302028

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kuhifadhi picha na video kwenye simu yake, kupitia kumzuia kuidownload na kuhifadhi kwenye kifaa chake.

๐Ÿ”• Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.
Hii nzuri for security reasons
 
Mfano nimelink watsup yangu na computer. Je mtu wa computer anaweza akaview kile nachowasiliana na mtu mwingine endapo nikaset privacy?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom