Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ
Watumiaji wa Whatsapp wataweza kukumbana na feature mpya inaitwa Advanced chat Privacy kwa kuboresha usalama kwenye chati na groups zako.
Feature hii mpya inapatikana kupitia setting zilizopo kwenye chati zako baina ya mtu na mtu pamoja na kwenye groups.
Ukifanikiwa kuiweka on itaweza kukusaidia kuboresha usalama wa chati zako kupitia mambo yafuatayo;
โ๏ธ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.
โ๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.
โ๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.
โ๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kuhifadhi picha na video kwenye simu yake, kupitia kumzuia kuidownload na kuhifadhi kwenye kifaa chake.
๐ Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.