Alii.mohd61
Member
- Nov 17, 2013
- 73
- 18
Mbona huo Wa siku nyingi? Au kuna jipya gani hapo?
Naona lengo lako ni kutuambia una rafiki Norway, acha ushamba. Haya tuambie huyo Nill ni wa kike au wa kiume?
Hiyo kitu inazaid ya wiki sasa,,mi binafsi hua nachck updates direct kweny website ya whatsapp,,Hatimae whatsap leo alfajiri na mapema imenidai update na kuonekana ktk muonekano mzuri kiupande fulan.
ni kweli mkuu,wakati nasoma post yako ,nikajaribu kufungua whats app nakuta inanidai updates,nilipomaliza nikaona haya mabadiliko unayosema,kwa wale amabao sio watumia wa whats app plus ndio wataona tofauti kubwa.
Walimwengu wengine bwana ...hii inakuhusu
dah umenifurahisha na kunichekesha sana...hahahahha
yes,,,unaweznaweza access web ya whatsap ili kupata direct updates??
Howdo I alii??
Ingia wasap web ufanye update or Google store
Click OS yako husika hapa| WhatsApp :: Download | Ili udownload v2.12.58