whatsapp users!!!!

whatsapp users!!!!

Nokia asha 200 hadi 205 hazisapoti whatsapp ila kama unataka hizo social networks wawezadownload qeep au imsy messages. They're also cool.
 
Not supported. Supported Nokia S40 series phones:

Nokia Asha 201
Nokia Asha 300
Nokia Asha 302
Nokia Asha 303
Nokia Asha 306
Nokia Asha 311
Nokia C3-00
Nokia C3-01
Nokia X2-00
Nokia X2-01
Nokia X3-02
 
Hebu tuelezeni hapa Jamani, Mbona me niliambiwa Smart phone double line zina support Whatsapp. Au.??

Ni kweli mkuu...huyo jamaa aliesema eti double line zote hazisapoti whatsapp kachemka.
 
Nina Samsung smartphone GT-S6102
Line mbili natumia WhatsApps vizuri.
Inategemea na aina ya simu lakini kusema zote unapotosha umma.
 
ni aina ya cm..mm natumia tecno n3 na ina support wattsApp
 
Simu zote za double hazisupport whatsapp.

Sio kweli mkuu. me natumia Tecno double line ya android nimedownload na natumia Whatsapp tena latest version pia natumia Skype kwa video calls na kakao messenger. Kama yako umeshindwa sio zote
 
so Jibu sahihi smart Phone dual sim card zina support Whatsapp au???

wewe una simu gani? si simu zote hata mchina wa double line inasupport, ila hoja ilikuwa ni kumpinga huyo ndugu aliesema simu zote za laini mbili hazikubali whatsapp na samsung wana duos zenye java na android os lkn android ambayo ni dual simcard ya kuanzia version 2.2 froyo inakubali hiyo application. wewe kama unataka kununua au unayo simu weka model yake hapa usaidiwe maana huwezi pata ufafanuzi wa kila simu
 
Kang hizo zina suport au hazisuport maana sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu kaniambia kuwa yeye ana asha 200 na ameinstall whats app. Nilipomuuliza akasema kaingia ovi store na kaipakua!
Though it sounds a bit impossible, @ least u can give it a try!
NB: mimi sijaprove hii kitu, so m not sure!
 
Back
Top Bottom