Whatsapp status zinazoboa

Whatsapp status zinazoboa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Watsup status zinazoboa!
1.Hey there am using Watsup- tangu Siku ya kwanza watsup kajiunga 2najua hilo ndio mana unasomeka kwenye ac zetu

2.Sleeping! Siku 5, utakua umekufa wewe..��
3. Sick for three days, watsup ni hospitali?
4.Happy wiki nzima unaishi mbinguni?��
5. Driving for 7 days, utakua umefika Dubai Sasa
6. At the movies wiki nzima! Loh unafanya kazi movie theater au unauza popcorn?
7. I can't talk watsup only! Tupa simu hiyo matumizi makuu ya cm ni kuongea��
8.urgent calls only! We ni askari au ambulance?

Long weekend Kareem
 
Watsup status zinazoboa!
1.Hey there am using Watsup- tangu Siku ya kwanza watsup kajiunga 2najua hilo ndio mana unasomeka kwenye ac zetu

2.Sleeping! Siku 5, utakua umekufa wewe..😋
3. Sick for three days, watsup ni hospitali?
4.Happy wiki nzima unaishi mbinguni?😬
5. Driving for 7 days, utakua umefika Dubai Sasa
6. At the movies wiki nzima! Loh unafanya kazi movie theater au unauza popcorn?
7. I can't talk watsup only! Tupa simu hiyo matumizi makuu ya cm ni kuongea😀
8.urgent calls only! We ni askari au ambulance?

Long weekend Kareem

Mkuu umenifanya nicheke sna!
 
Hizi social networks zina matumizi tofauti. Usipojua hilo mambo ya group la mapenzi la Facebook utapeleka JF Intelligence, ya Twiter utapeleka Linkedin, ya Instagram utapeleka Tagged, the list goes on.
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeh!
 
1.Hey there am using Watsup- tangu Siku ya kwanza watsup kajiunga 2najua hilo ndio mana unasomeka kwenye ac zetu
2.Sleeping! Siku 5, utakua umekufa wewe
3. Sick for three days, watsup ni hospitali?
4.Happy wiki nzima unaishi mbinguni?
5. Driving for 7 days, utakua umefika Dubai Sasa
6. At the movies wiki nzima! Loh unafanya kazi movie theater au unauza popcorn?
7. I can't talk watsup only! Tupa simu hiyo matumizi makuu ya cm ni kuongea
8.urgent calls only! We ni askari au ambulance?
9. Ni kwa neema tuu mwaka mzima umekua askofu
Pitieni status zenu
 
I hate people ambao muda wote ni comments za WhatsApp status, profile photo... "badilisha status kidogo", "weka picha basi", all day is about comments...Hivi huwa hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kutembelea profile za watu? Tena utakuta mtu mzima na akili zake.

Wewe una account yako, na you can do alot with it, hata kuitaka kupiga picha ukiwa uchi, piga then weka, lakini sio kuleta usumbufu wa watu wengine. Kuna watu ni watumwa wa simu( wanaitumikia simu and not otherwise) yaani status inabadilika kila baada ya nusu saa, tena na picha juu, halafu alipatwa na shida lazima aitangaze hapo, halafu wewe masikini kutokuiona(wether si kawaida yako au ni kawaida yako lakini hukuwa na muda) eti nayo ni shida...tena wengine wanakurupika usiku usiku kukueleza amebadilisha status, profile picture or so!

Not every aspect of your life is public matter..If you dont have privacy, others do respect it..afterall almost all profile photo, status is showing off.
 
hahahahh ila ni kweli. Kuna binti alikuwa anasafiri akaweka " on flight" hadi leo, sasa sijui anaenda sayari ya Mars au vipi
 
I hate people ambao muda wote ni comments za WhatsApp status, profile photo... "badilisha status kidogo", "weka picha basi", all day is about comments...Hivi huwa hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kutembelea profile za watu? Tena utakuta mtu mzima na akili zake.

Wewe una account yako, na you can do alot with it, hata kuitaka kupiga picha ukiwa uchi, piga then weka, lakini sio kuleta usumbufu wa watu wengine. Kuna watu ni watumwa wa simu( wanaitumikia simu and not otherwise) yaani status inabadilika kila baada ya nusu saa, tena na picha juu, halafu alipatwa na shida lazima aitangaze hapo, halafu wewe masikini kutokuiona(wether si kawaida yako au ni kawaida yako lakini hukuwa na muda) eti nayo ni shida...tena wengine wanakurupika usiku usiku kukueleza amebadilisha status, profile picture or so!

Not every aspect of your life is public matter..If you dont have privacy, others do respect it..afterall almost all profile photo, status is showing off.
duh mkuu hii ingetakiwa ifunguliwe thread unahasira sana
 
Eti mtu ananiambia badilisha profl pic yako....lol...sasa inakuhusu nn profil pic yangu and why should u dictate me
 
Hahahahahahah Via Nokia jeneza hata wazap siijui lol!!
 
Last edited by a moderator:
kwani kuna wanaotumia Wasapu kwa zaidi ya mawasiliano kutumiana emages na documents? kama mna matumizi zaidi ya hayo poleni sana tena mimi hata ujinga wa magroup sitaki mtu aniunganishe.
 
Kuna mtu aliwahi niambia 'nimeichoka profile pic yako', nikamjibu mie sijaichoka.

Eti mtu ananiambia badilisha profl pic yako....lol...sasa inakuhusu nn profil pic yangu and why should u dictate me
 
Huo mda wa kuangalia status za wengine upo??
 
kwani lazima kila mtu afanye unachokipenda ??
 
Unakuta mtu kila siku anabadili profile picture mara 2! Unajiuza?
 
Back
Top Bottom