Whatsapp status za kijanja

Whatsapp status za kijanja

We Nyani we yaani basi tu. Yaani nimeangua kicheko bila kupenda. Sijui sometimes huwa unafikiria nini. It must be extremely loud in your mind!
5a91aaf7695a36c0e3b4272bf274e83f.jpg
Aiisee hiyo avatar yako akiiona kigwangla mbna atakushitaki 😂😂😂😂😂
Sio kwa mimacho hio
 
@Shadeeya nakusalimu na sesy wako.

Hahaha...unavyotaja na kuiandika sesy bila shaka ushalegea kwa Sesy.

Hahahaaa. Mi sijambo. Mzima?

Najuana naye huyo hivyo wala asikupe shida na hata hiyo Ses ndo nnavyomwita siku zote.
 
Back
Top Bottom