hyo ni v4.95 na bdo una-access TAB ya online status bure??Mkuu mbona mimi nimeupdate ila inapiga mzgo fresh tu hata kwenye last seen??
View attachment 137210
View attachment 137211
Hii kitu tumeinjoy buree features zote lakini tangia jana..Bure no more.... ambapo developer kaachia latest version kutoka v4.92 to v4.95,HIDING LAST SEEN needs u to pay.
Na wewe ni mhanga wa hii?
Am busy studying.
Ndio mkuu
View attachment 137212
Endelea kula mambo maana kulipia bongo vitu vilivyo torrent hawjatushika bado
http://download.justseed.it/6d8e29b...d4789ee/Whatsapp+ v4.95 Cracked [=Rahil=].apk
Mkuu hii ni tofauti na hzo nyingne znazotaka PAYMENTS to access HIDE LAST SEEN feature??
Umeupgrade kawaida au kuna sehemu nyingine umeipata hii??
Ushawekewa link unaanza kuhoji hiyo ina expire usiku wa leo ni ya justeed.it kama unawajua
Torrent means cracking kaka au haukuelewa nilichomaanisha katika comment yangu
Pakua endelea kuficha "mas*buri"
hakuna pop up wala donation app yoyote niliyoweka nimeinstall app ya whatsapp plus peke yake, na inapeta mpeto wa kutakata,Hakuna pop-ups za kukutaka upgrade to the latest version?
The best im app is no longer whats app, now it is telegram, an app called telegram, can send files upto 100mb, unlimited photos also it can send pdf, ppt, doc and any other formart fast than ever!