Kaka nimeweka GBWA v4.16-2.12.453,ila bado tatizo ni lile lile,video ukimark zaidi ya 1 haiendi ina apload 1 tuu uliyoimark ya mwisho,naombeni kama kuna mtu mwenye version inayokubali hivyo anitupie link,au anielekeze niipakue