Aseee, mbona nimei-download na imemaliza yote nimefanya backup nataka ku-install ikaniambia File not found.Na-download tena hapa nione itasemaje broh...!.https://userscloud.com/dkk1aegmff91paste hyo link kweny url tab yako..then download
Aseee, mbona nimei-download na imemaliza yote nimefanya backup nataka ku-install ikaniambia File not found.Na-download tena hapa nione itasemaje broh...!.
done...!.ikague kweny folder ya download then install
Aseee, mbona nimei-download na imemaliza yote nimefanya backup nataka ku-install ikaniambia File not found.Na-download tena hapa nione itasemaje broh...!.
Sorry mkuu naomba unipe faida ya hiyo backup na inafanywaje?? Maana sijawahi kufanya ivo!
Sorry mkuu naomba unipe faida ya hiyo backup na inafanywaje?? Maana sijawahi kufanya ivo!
Wakuu kwa lugha rahisi tu ni kuwa backup tunaweza kusema kuwa ni NYUMAJUU nikiwa na maana zile za nyuma unazileta juu na zinakuwa hapo.Ama kwa lugha nyingine ni kuwa unazihifadhi message zako ili uweze kuzihuisha baadae.Mdau hapo juu umesema kuwa hujawahi kufanya hiyo kitu hata siku moja lakini kwa kawaida whatsapp yenyewe huwa inafanya backup kila siku saa 4.00am ili kutopoteza data zako za nyuma.Na msg zote zinakuwa zimehifadhiwa kunako kadi ya kumbukumbu (memory card) yako na ndio mana hata ukiondoa whatsapp na ukaiweka tena utaweza kukuta msg zako, picha, audio au video clip zipo.Hivyo, hata kama hujawahi fanya backup hata mara hamna shida juwa kuwa whatsapp wanafanya backup ya data zako kila siku saa 4.00am.Ila ukiamua kufanya backup mwenyewe unafungua whatsapp > settings > chat settings > backup.Una click hapo na kila jambo linakuwa sawa wadau. Natumai ntakuwa nimewajibu vyema swali lenu.Welcome.Namm nasubiria jibu
Ahsante kwa majibu yenu!!!
Baada ya kudownload hii watsapp kwenye link sliyotuma kcamp, simu imeanza kustack, ina pop up ads kibao, na kudownload apps hata nikizi uninstall zinarudi tena kuna moja ya game ndo insjiwasha yenyewe na kuanza kupiga kelele. Ntafanyaje wakuu maana sim hadi inaboa.
Mkuu chukua gbwhatsapp nzuri.. Kuhusu feature ya second tick bado ni bugs kweny plus zote. Uki activate tu utachelewa kupata txt on time.. Hilo bado tatizo kote... Labda ufiche blueticks tu ndo mbadala.
mkuu vipi hiyo gbwhatsapp inakubali hata kwenye simu ambayo haijawa rooted?
umetumia browser gani??? wewe umekutana na adds za userclouds matokeo yake umeingiza adware kweny simu yako..pop up hutakiwi kuzikubali mkuu
hyo whatsapp haina shida hata kidogo...
shida ni wewe kushindwa kuzikwepa pop up za kweny hiyo site..
anyway unatumia simu gani?? na unapata matangazo gani?
Nimetumia opera beta,
Natumia huawei
Matangazo ni kama facebook apo,kupatana, na rock N app.
Apps zinazoji install zenyewe ni hero returns(ni game huwa linajiwasha lenyewe), N locker, Gem crash, na M Accelerate.
Hizo adds ningewezaje kuzikwepa??
Ooh okay, hii itakuwa imetoka lini mkuu ?, Mi nimekuwa nikitumia hiyo YoWhatsapp nayo unatuma files kubwa pia nafkiri ni 700MB au 900MB hivi ila kuna feature ambayo gbwhatsapp haina mkuu kuna feature ambayo hata ukiwa una-chat na mtu mwengine lakini kama mtu yoyote akiwa online inakuonesha kwa juu pale kuwa fulani yupo online.Lakini feature nnayohitaji mostly ni hii ya kuficha 'tick' moja na ibaki "tick" moja hata ukifungua msg ukaisoma, still yule aliyekutumia msg anaona kwake kuna single tick akijua kuwa upo offline na msg yake haijafika still. Hii ndio feature nnayohitaji mkuu, niki-activate msg zinachelewa kufika hata lisaa lizima mkuu that's why nikauliza kama kuna app yenye hiyo feature kiongozi kcamp.Thanks buddy.
Toa Direct Link basi Ili watu waweze Download