Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Kumekua na kesi nyingi za watu kulalamika kufungiwa ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ zao kila mara, watu wengi wanalalamika kila wanapojaribu ku download Whatsapp na kujiunga tu wanafungiwa nini shida ?
Kuna mtu alikua anatumia ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ Gb fresh ila ilivyomwambia download nyingine baada ya mwanzo kuisha muda wake kajikuta kafungiwa akaunti yake.
Ikitokea akaunti yako ya ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ imefungiwa utakutana na ujumbe kama huu wakati unajisajili
" this account is not allowed to use Whatsapp"
๐จ๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐ด๐ถ๐๐ฎ? Kwa sababu umevunja sheria na masharti ya Whatsapp, mfano Ikiwa unatumia Whatsapp mods, unatuma link za ajabu unaweza kufungiwa akaunti yako.
Jihadhari sana ili kulinda kufungiwa kwa kuacha yafuatayo
โข Acha kutumia ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐๐ฏ, Whatsapp fm, Whatsapp plus utafungiwa
โข acha kutuma message moja mara nyingi nyingi utafungiwa
โข usifungue group nyingi kwa siku na ku add watu wengi utafungiwa Whatsapp yako
โข usitume link ambazo sio Salama utafungiwa Whatsapp yako
โข Ikiwa una tabia ya ku block na watu utafungiwa akaunti yako
Kuwa makini Whatsapp mwaka huu sheria zao wanazitekeleza sana ukikosea tu unaweza kufungiwa akaunti yako na kufutiwa kabisa utaondolewa kwenye ma groups yako yote.
Jihadhari unaweza poteza taarifa Zako za msingi
Vipi wewe umeshakutana na changamoto ya kufungiwa Whatsapp yako au lah tuachie maoni yako?