I phone zinasupport kama una i phone 3g update it tu version 4.2 na kuendelea even i pad inasupport whats up lakini sharti iwe jailbroken one natumia whats up i pad 2 and it works great but kumbuka both model 3g and wif zinasupport baada ya kujilbreak i pad nenda cydia add source inayoitwa whatspad they connect i pad kwenye i tune drag whats up to ur i pad kumbuka ni 0.99$ whats up inauzwa kwenye apple store so tafuta mtu yeyote aliyewahi inunua zen iingize kwenye i pad kupitia i tune yake dats all