Whatsapp notification Problem

Whatsapp notification Problem

GB watsapp hiyo ni tatizo kwa simu za aina zote hadi uilaunch ndio inaleta sms
 
mimi nime restrict kupitia power management kwenye betri sitaki kuona notification yoyote iwe ya Facebook insta au wasap mpaka niingie mwenyewe hivyo hata meseji ili ziingie ni mpaka niingie mwenyewe hii inasaidia upande wa chaji kifupi app inakua imepigwa ganzi no background activities mpka uiamshe mwenyewe
 
Msipende kutumia unofficial verson za software, asilimia kubwa ya hizo software hua zinakuja kama malware, wanaiba data zako wanakaa nazo bila wewe kujua, na ndiyo kama hivi unakutana na matatizo kama haya. Penda kudownload software toka playstore peke yake maana zile wanazikagua sana kabla ya kuziapprove kuziweka pale.
 
Mimi natumia watsap ya kawiada na natumia simh ya Motorola lkn hill tatzo la notification kujionesha haisapot kabisa mpaka nifungue watsap ndio zinajiwachia.
 
Msipende kutumia unofficial verson za software, asilimia kubwa ya hizo software hua zinakuja kama malware, wanaiba data zako wanakaa nazo bila wewe kujua, na ndiyo kama hivi unakutana na matatizo kama haya. Penda kudownload software toka playstore peke yake maana zile wanazikagua sana kabla ya kuziapprove kuziweka pale.
Shukran kwa huu ushaur mzur
 
Kama unatumia tecno unaweza ukawa ume freez hiyo Whatsappp, kwa hiyo ukitaka kuona Sms mpaka ukifungua.
jaribu ku Unfreeze zitakuwa zinakuja notification. asante
 
Back
Top Bottom