Sio WhatsApp company, hizi zote ni influence za Facebook (Mark) kuwa treat user wake kama watoto ambao ni nyie watumiaji wa Whatsapp, Facebook na Instagram.
Mark alipoona istagram ina hit akainunua.
Alipoona tena Whatsapp ina hit akainunua
Na anazinunua bila kubring new and modern features
Angalia kama kuna kitu cha maana alichokifanya kwenye Whatsapp zaidi yakuendelea kuonekana tu kama ile ya miaka ya zamani.
Developers walijitahidi kumodd whatsapp ili ionekana yakuvutia kidogo na iwe Modern kama alivyofanya Joaquin kuleta new Material design ktk whatsapp nakutuletea WhatsappMD ili users tu enjoy new whatsapp looking wamempiga bit.
Hawajaishia hapo tu wameziblock Account zake za Instagram na Facebook. Developer huyu huyu aliyefanya kazi kwaajili ya Whatsapp users.
Nayo team ya Dr Rafa (Whatsapp+ Developers (Mod)) wamewapiga biti.
Japokuwa developer wa WhatsappMD kasema ataendelea na its development mpaka watakapo mwachia account zake za Facebook na Istagram. ishu inakuja kua kama vita ya Paka na Panya, ambayo siku zote Paka atashinda....
daima hii vita ya Third App whatsapp developer na Officials, whatsapp official itashinda mana hawa jamaa wanatumia server zao, ata kama watajitahidi kutweak vipi tatizo linakuja kwenu nyie users.
Whatsapp kuna dalili zote wakapiga permanent ban namba zenu (waka zi blacklist) na hutoweza tena kutumia whatsapp kwa namba waliyoipiga ban,
Sasa je utasajili laini nyingine ili utumie tu whatsapp ?
Cha msingi kwa sasa nikujiepusha na hizi Modded whatsapp apk sio OG, Plus, MD wala Reborn before being banned by a Jew.