Whatsapp nne kwa simu moja


Mbona zipo whatsapp mbili kwa simu moja tena bure tu??kuna mtu alileta huo uzi humu na sasa hivi simu yangu moja natumia whatsap mbili kwa namba mbili tofauti.
 
download app ktk playstore inayoitwa DISA ikikubali kuna option inayotaka uweka namba nyingine ya whatsapp.
 
mi nisaidie hata hii moja niiondoe. mi nlifikiri umegundua namna ya kuondoa hata hii isiwepo we unataka kuniongezea tena matatizo mengine? ni sawasawa nataka kumwacha mke mmoja aliye naye ananishinda we unanishauri niongeze wengine wawe wanne. kama unajua namna ya kuondoa hata hii moja isiwepo please nambie nikupe sh ngap ila isizid 500,000.
 

Njoo pm
 

acha mambo yako..hiyo Ishu ni bure na ni rahis sana..kuna thread kibao humu kuhusu hyo Ishu..
 
Sijui vyote unavyotumia tayari vilishajadiliwa humu
1. WhatsApp
2.OGwhatsApp
3. WhatFapp
4. DISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…