WhatsApp log out

Nawezaje kurudisha whatsapp account ambayo namba yake tayari alishapewa mtu mwengine?
Sasa hata akikupa ushirikiano akupe code huoni utakuwa ukiwasiliana na watu wake alioanza kuwasiliana nao.
Labda umwombe tu kistaarabu akupe namba yako, mwende kwa mtoa huduma na id's zenu awabadilishie majina.
 
atawasiliana vipi na watu wake? maana whatsapp account hiyo sii ilishakuwa registered so alivyopata line sidhani kama unaweza kuwa na accounts mbili za whatsapp kwa namba hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…