KAZIME NOTIFICATION AU DELETE ACCOUNTNisaidieni namna ya kulog out ,ili nisipate jumbe hata Kama data ziko on
Muelekeze vizuri.KAZIME NOTIFICATION AU DELETE ACCOUNT
INATEGEMEA YEYE ANAPENDA NJIA IPI ASEME... YA KUZIMA NOTIFICATION AU KUDELETE ACCOUNT...ASEME MOJAMuelekeze vizuri.
Ingekuwa poa.maana yake unazima data eti?au izuie iswe na uwezo wa kuaccess data hadi uifungue ndio iconect na server
no, unaizuia watsapp pekee isijikonect na data japo data inakua onIngekuwa poa.maana yake unazima data eti?
Fafanua mdau hiyo huaje? Cm za kawaida unaweza piga?Tumia DND iweke on hutoweza kutuma ama kupokea simu hadi hu i-disable
hamna namna labda kama unamfahamu umuombe akutumie code atakazotumiwa.Nawezaje kurudisha whatsapp account ambayo namba yake tayari alishapewa mtu mwengine?
Tumia GB WhatsApp, WhatsApp ya kawaida haikubaliNisaidieni namna ya kulog out ,ili nisipate jumbe hata Kama data ziko on
Duh hatari.hamna namna labda kama unamfahamu umuombe akutumie code atakazotumiwa.
Yaani balaaa hapa nimechanganyikiwa ile mbaya...Daa hata Mimi yamenikuta hayo nikibadilisha simu hii ndio basi tena
Download apps inaitwa phone master ukishaidownload Kuna option imeandikwa data manager , unaweza zuia apps yeyote isitumie dataNisaidieni namna ya kulog out ,ili nisipate jumbe hata Kama data ziko on