King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,848
- 95,047
Yap inafanya Kazi
Ni mpaka u-update whatsapp ya sasa?
Yap inafanya Kazi
Telegram nawakubali sana wanafeatures ambazo ni very uniqueMasela wanakopi Telegram
Hebu nielekezeYap inafanya Kazi
Telegram ipo muda... Naona muda unavyozod kwenda whatsapp inappteza simplicityWhatsapp wanataka kuleta feature ya ๐๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kwenye akaunti zetu, itaweza kumruhusu mtumiaji kuchagua unique username yake ambayo itakua official kabisa. Kwa sasa hii feature ipo Kwenye development haipatikan kwa sasa.
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ wataweza kuileta feature ya username ambapo utaiona kule setting kupitia kwenye Whatsapp yako kwa kuingia setting>> profile utaweza kuandika username yako.
Kwahiyo badala ya kutumia namba ya simu mtu akutafute Whatsapp, ataweza kukutafuta kupitia username. Mtu atakuwa na uwezo wa kukutumia ujumbe kupitia Whatsapp sio lazima awe na namba yako.
Feature hii itaweza kuwafikia watu wengi Zaidi pia Whatsapp Wana mpango wa kuondoa namba za simu zisitumike kwenye Whatsapp siku zijazo Mtu atakua na uwezo wa kuchati na wewe bila namba ya simu.
Bado watu wengi wanashangaa jinsi itakavyokuwa inafanya Kazi ni mapema kwa kuwa iko kwenye matengenezo ila itakuwa salama Kuanzia kwa wafanya biashara, watu wa kawaida Bado mfumo utakua mtu sio rahisi kudukua taarifa Zako nk.
Unaionaje hii feature?
#bongotech255
View attachment 2635184
Maana yake hapo lazima kuwe na link ya email ili kuweza kufanikisha hilo zoezi.
Na hili lipo Telegram
Telegram ipo muda... Naona muda unavyozod kwenda whatsapp inappteza simplicity
Mambo mengo itakuwa super app kama wechatKwanini inapoteza? Ndio yale yale ya VAR tunasema football inapoteza ladha
Ni official feature ya Whatsup au ni haya makandokando wanayofanya watu watundu? Watu wako concerned na ni nini kinapatika Whatsup kama ilivyo.Mbona hiyo feature ipo kwenye simu zinazoweza clone app. Kipindi niko busy na kufuatilia mademu zangu, nilikuwa na namba mbili za WhatsApp baadae kutokana na restrictions nikafanya moja iwe GB WhatsApp naficha kila kitu last seen, naweka online notification na ghost view.
Unakuta umefichwa huku unaona kwingine. Na hiyo clone iko kwenye vault haionekani kwa apps
WhatsApp official huwezi hide seen na read, labda ufiche last seen na vilevile hutoiona kwa yeyote.Ni official feature ya Whatsup au ni haya makandokando wanayofanya watu watundu? Watu wako concerned na ni nini kinapatika Whatsup kama ilivyo.
Siamini ni official. Au pengine neno official hujaelilewa!WhatsApp official huwezi hide seen na read, labda ufiche last seen na vilevile hutoiona kwa yeyote.
Clone app ipo kwa official WhatsApp inategemea simu ila unafungua accounts laini mbili tofauti.
Mara ya kwanza nilikuwa natumia WhatsApp ya biashara na WhatsApp ya binafsi zikiwa tofauti ila kwenye simu moja
Aisee jamaa unatumia nguvu kubwa kujificha.
Mbona madem huwa wanajua tu kua mwana lazima anatindua huku na kule, wao husemaga kikubwa umheshimu tu.