Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Whatsapp wanataka kuleta feature ya ๐๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kwenye akaunti zetu, itaweza kumruhusu mtumiaji kuchagua unique username yake ambayo itakua official kabisa. Kwa sasa hii feature ipo Kwenye development haipatikan kwa sasa.
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ wataweza kuileta feature ya username ambapo utaiona kule setting kupitia kwenye Whatsapp yako kwa kuingia setting>> profile utaweza kuandika username yako.
Kwahiyo badala ya kutumia namba ya simu mtu akutafute Whatsapp, ataweza kukutafuta kupitia username. Mtu atakuwa na uwezo wa kukutumia ujumbe kupitia Whatsapp sio lazima awe na namba yako.
Feature hii itaweza kuwafikia watu wengi Zaidi pia Whatsapp Wana mpango wa kuondoa namba za simu zisitumike kwenye Whatsapp siku zijazo Mtu atakua na uwezo wa kuchati na wewe bila namba ya simu.
Bado watu wengi wanashangaa jinsi itakavyokuwa inafanya Kazi ni mapema kwa kuwa iko kwenye matengenezo ila itakuwa salama Kuanzia kwa wafanya biashara, watu wa kawaida Bado mfumo utakua mtu sio rahisi kudukua taarifa Zako nk.
Unaionaje hii feature?
#bongotech255