Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Hilo ni tatizo lako binafsi kama hauna time management.Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Na bado kidogo Telegram pia itaingia kwenye orodha...ndo hivyo tupo kwenye ulimwengu wa mitandao ndugu yangu.Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Kama ni pombe, basi mimi naishi kwenye kinu kabisaJF ndio balaa
Visingizio! Hao ni wangapi (%ngapi?)Kuna baadhi ya watu hii mitandao ya kijamii ni sehemu za ofisi zao.
Mtu ana groups kadhaa, na huko kati yuko active, akichangia na kuanzisha mada, mwanzo mwisho!Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Huo muda wa kuangalia status za mtu mnatoa wapi?Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Hoja yako iko too General na ina Fallacies nyingi tu halafu hukuushirikisha vyema Ubongo wako Uliolala kabla ya kuja na huu Upuuzi.Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Yani mtu ukeshe Tik tok na Instagram? Labda wanawake,Ila mwanaume kutumia tik tok ni anguko..Tena mimi naona bora hata Whatsapp
Instagram na Tiktok ndio kiboko!
Zinafanya mtu anakuwa addicted sana, hivyo kujichelewesha kwenye mambo mengine