Baada ya kudownload biblia, fungua whatsapp tafuta jina la huyo unayetaka kumtumia kisha click jina lake kama vile unavyojiandaa kuandika msg. Kwenye uwanja wa msg angalia juu kulia kuna alama ya attachment click hiyo alama utapelekwa kwenye options 3, gallery, video recorder na camera ya picha za mnato. Fungua gallery tafuta hiyo biblia ukiselect tayari itaingia kwenye msg kama attachment basi ni kusend tu.