Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,289
- 2,608
Itaanza kwa watumiaji wa WhatsApp business betaInaanza lini mkuu?
Hii waga inasumbua sana.Download dual space, dual space lite, multi space au parallel space kutoka play store au app store. Utaweka Whatsapp nyingine huko na kutumia.
inaanza liniItaanza kwa watumiaji wa WhatsApp business beta
Mi ninazo tatu kwenye simu moja [emoji1787]Ni vizuri wanaweka hiyo feature kwenye app yenyewe. Lakini ukitaka kutumia Whatsapp zaidi ya moja kwenye simu moja inawezekana hata bila kuanza kwa hiyo feature mpya. Download dual space, dual space lite, multi space au parallel space kutoka play store au app store. Utaweka Whatsapp nyingine huko na kutumia.
Exactly, sio kitu kipya.. Tena sihitaji kulog in au outMimi kwa hii simu yangu nina uwezo wa kutumia nina akaunti tatu tayari, kwa hiyo nitakuwa na uwezo wa kuwa na akaunti nyingi zaidi.
Mwezi gani?Itaanza kwa watumiaji wa WhatsApp business beta
Na zote ni akaunti halali za whatsapp, sio zile za vijana za kuitwa FM, sijui nini.Exactly, sio kitu kipya.. Tena sihitaji kulog in au out
Wewe unatumia SamsungView attachment 2659955
Hiya hapo .......ila mimi natumia whats app tu
N.D.I.Y.OWewe unatumia Samsung
Ipo waziN.D.I.Y.O
Hahahahah, hiyo kama JF sasa. Ma akaunti kibao, mpaka watu wanaandika na kujijibu wenyewe.Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia.
WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo mengi kwenye Akaunti zetu, unakumbuka ile feature ya kuweza kutumia Akaunti moja kwenye vifaa zaidi ya vinne Tena tofauti tofauti achana nayo [emoji16] hiyo.
View attachment 2659804
Kuna nyingine bhana inakuja sio poa hii ni feature mpya ya kuweza kukusaidia kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye kifaa kimoja. Yani utakua na uwezo wa kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye simu yako hiyo hiyo bila kubadilishi simu.
So utakua na uwezo wa ku log out au kuchagua Akaunti nyingine unayotaka kuweza kutumia WhatsApp yako, kwaiyo watu watakua na uwezo wa kudhibiti mazungumzo yao ya kibinafsi na Kazi kwa ku swipe tu kwenye Akaunti Gani wanataka kutumia.
View attachment 2659805
Kwanza itaanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp business ambao ni beta version alafu siku za usoni itakua available worldwide. Japo hii feature ilikuwepo kwenye Akaunti ya Instagram, Facebook, Twitter nazani na telegram kama sikosei.
Unaionaje hii feature ya ku log out au ku swipe kwenye Akaunti nyingine walikuja nayo WhatsApp vipi Iko poa tuachie maoni yako ?
Same here....Na zote ni akaunti halali za whatsapp, sio zile za vijana za kuitwa FM, sijui nini.
Na zote zina run in a real timeNa zote ni akaunti halali za whatsapp, sio zile za vijana za kuitwa FM, sijui nini.