Whatsapp Hide your number


Mbona hata Kiswahili ungeeleweka vizuri sana mkuu
 

?????!!!!
 
Mmhh...haya bana weye na whatsap zenu , wewe jidanganye tu ,piga *#06# utaona kitachotokea, sasa kuanzia hapo ndo tutapata wapi pa kuanzia na wewe unayejifanya ya kwamba eti hautotambulika namba yako.
 
hivi kwa nini mtu uanze kujificha? what is so special???? wewe ni jasusi?? hakuna tofauti na wapiga chabo uswahili...kazi ni kujua ya wenzao tuuuu

Hakuna aijuaye KESHO.
 

Wewe ume-copy&paste kutoka google lakini hujui namna ya kuifanyia kazi ndio maana ukiulizwa hujibu.
 

Man.....! This is like....... anyway does it still work? I never thought of hacking my identity on whatsapp, never went through forums looking for something like that, never thought its possible, so its to say the numbers I'll enter will be of my choices rite? From any chosen country uh? Am a tanzanian my number should be +255 but i dont want that in this case, so i want to use the country code +91 does it work like that?

Am gonna give it a try. B-)
 

Andika kimatumbi tu acha lugha za wenzako hazikufai...you can available without your real ....just check up us via...ndio nn hiki ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…