Whatsapp hidden secrets

Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
350
401
Habari za mda huu.

nIngependa kushare nanyi baadhi ya tips unazoweza ukazitumia kuifanya Whatsapp Yako ionekane vizurii na yenye mvutoo

mbinu ya kwanza
1.Font style.ni namna maneno unayotype yanavyoonekana inaweza ikawa bold,italic,monospace za kadharika pia na strike through unachotakiwa kuifanya ni kuingia kwenye Whatsapp Yako then type neno >>long press Hilo neno >>hapo zitakuja option mbalimbali kama picha inavyoeleza hapo chini

2.dark mode.kamailivyo jf na pia Whatsapp ipo hivyoo hivyoo unaweza ukachange mode from light mode to dark mode fanya yafuatayo
settings>chats >themes ,kwenye theme utakutana na dark theme na light theme ,ila kwamimi Huwa napendelea dark theme

3.who can add you to a group.nahisi hii ndio option pendwa mana kuwa wengine Huwa hatupendi kuwekwa kwenye magrup ambayo hatuyapendi kwa hiyo unachotakiwa kuifanya ni
settings>account>privacy>>groups Sasa hapo ndo utachagua that no contact from your WhatsApp number can add you in any group ila endapo Kuna mtu atataka kukuunga kwenye group link itatumwa automatically kwenye namba Yako ya Whatsapp

4.Nani kasoma text Yako kwenye group la Whatsapp
unachatikiwa hapa ni kuingia kwenye group Hilo then ukishatuma text unachotakiwa ni long press kwenye hiyo text then click kwenye vidot vitatu pale juu then kwenye info ndipo utajua nani kasoma na Nan text imekua delivered kwake๐Ÿ˜

5.link your account number for Whatsapp to other social medias ...

Hii mbinu inatumiwa sana na wale wanaofanya biashara mbalimbali mitandao I kwa hiyo ukienda kwenye bio yake may be Twitter au instagram utakuta link ambayo itakudirect moja kwa moja kwenye Whatsapp yake
Unachotakiwa ni kufanya hv

settings the utaenda utascan qr code then share

6.Security
Hapa zipo njia mbili moja ni two factor authentication na fingerprint sensor

kweNye fingerprint sensor unachotakiwa ni

settings>account>privacy>fingerprint lock ๐Ÿ”’

7.Pin icon.hapa kama una contact nyingi kwa wasapu na pia kama umechat na watu wengi unachotakiwa

long press ile contact Yako then unachagua pale juu mana Kuna option nyingi ila our targeted option ni pin ,extra pia unaweza uka archive pia kama hutak watu waone

8.Kutuma picha interm of document

Wngi husema ukituma picha kikawaida ni rahisi hiyo picha kuwa blury baada ya mda Fulani /quality kupungua ,unachotakiwa kufanya ni


INaENDeLea

Daktari wa Manchester

download (3).jpeg


Screenshot_20211126-132405~2.png


Screenshot_20211126-135509.png
 
Kwa sasa WhatsApp haipunguzi ubora wa picha, kuna kipengele cha kuchagua namna ya kutuma. Ingia Settings > Storage & Data > Photo Upload Quality (Chagua baina ya Data Saver, Best Quality au Automatic)
 
Back
Top Bottom