Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 21, 2016 Thread starter #21 muhtad said: Ilikuja msg kunialert nifanye hivyo Click to expand... Baada ya hapo inapokea mesej kawaida au??
muhtad said: Ilikuja msg kunialert nifanye hivyo Click to expand... Baada ya hapo inapokea mesej kawaida au??
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Feb 21, 2016 #22 Nafikiri Zaidi said: Daah second tick cja hide ipo ila nime hide kwamba meseji imesomwa na online status cjahide ipo free tuu.... Alaf mkuu naomba basi kama una latest version ntumie link apa basi Click to expand... GBWA3_Fix v4.05-2.12.361 @atnfas_hoak.apk
Nafikiri Zaidi said: Daah second tick cja hide ipo ila nime hide kwamba meseji imesomwa na online status cjahide ipo free tuu.... Alaf mkuu naomba basi kama una latest version ntumie link apa basi Click to expand... GBWA3_Fix v4.05-2.12.361 @atnfas_hoak.apk
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Feb 21, 2016 #23 Nafikiri Zaidi said: Nimetafuta simu nzima sijakiona aisee dah.... Au nirudi kwenye WhatsApp yangu ya kawaida nini????? Click to expand... Hahahaha pole mkuu kipo kwenye developer option angalia picha hii
Nafikiri Zaidi said: Nimetafuta simu nzima sijakiona aisee dah.... Au nirudi kwenye WhatsApp yangu ya kawaida nini????? Click to expand... Hahahaha pole mkuu kipo kwenye developer option angalia picha hii
Mangare100 Member Joined Aug 21, 2012 Posts 57 Reaction score 25 Feb 21, 2016 #24 Amavubi said: mm nina shida na what sup calls yaani naona tu miss calld Click to expand... Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi.
Amavubi said: mm nina shida na what sup calls yaani naona tu miss calld Click to expand... Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi.
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Feb 21, 2016 #25 Mangare100 said: Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi. Click to expand... Tafuta vpn inaitwa flyvpn ipo playstore. Tatizo sio simu ni baadhi ya mitandao ya simu wameblock hiyo service
Mangare100 said: Hata mimi na tatizo hilo cm yangu mwanzo nilikuwa naweza kupiga au kupokea cm Za whatsup ila sasa hivi inaniambia mpaka niconnect na wifi. Click to expand... Tafuta vpn inaitwa flyvpn ipo playstore. Tatizo sio simu ni baadhi ya mitandao ya simu wameblock hiyo service
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,232 Reaction score 185,514 Feb 21, 2016 #26 Update whatsapp yako...
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 21, 2016 Thread starter #27 kcamp said: GBWA3_Fix v4.05-2.12.361 @atnfas_hoak.apk Click to expand... Asantee mkuu nisha update
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 21, 2016 Thread starter #28 Kibajajitz said: Hahahaha pole mkuu kipo kwenye developer option angalia picha hii Click to expand... Ngoja nichekii hii kituu
Kibajajitz said: Hahahaha pole mkuu kipo kwenye developer option angalia picha hii Click to expand... Ngoja nichekii hii kituu
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 21, 2016 Thread starter #29 Smart911 said: Update whatsapp yako... Click to expand... Nisha update
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 21, 2016 Thread starter #30 nusuhela said: uninstall alafu download upya. Nilishawahi kupata tatizo hilo pia Click to expand... Asantee kwa advice mkuu
nusuhela said: uninstall alafu download upya. Nilishawahi kupata tatizo hilo pia Click to expand... Asantee kwa advice mkuu