Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
Unatumia whatsapp official? ?Hili tatizo la App ya WhatsApp kutopokea meseji mpaka nifungue App husika bila kufanya hivyo sipata meseji
......MSAADA WADAU
NB😀ATA CONNECTION INAKUA ON LAKIN MESEJI HAZIINGII
Nilikua nayo but nimepiga chini natumia hii nyingne Yan GBWhatsAppMkandara: Labda utusaidie hao maprofesa wa akina Kamala Dar (Tanzania) walikuwa akina nani?
Unaitiwaje mkuu KibajajitzHakikisha simu yako haipo katika ile setting ukiset activity ukitoka nayo yatoka. Nilishawahi set hivo nilikuwa sipati msg za jf wala whatsap mpaka niingie kwa application husika mpaka nilivyoitoa
Inakwambiaje mkuu???mm nina shida na what sup calls yaani naona tu miss calld
Gb ndo yenye hiyo bugs. ..Hakikisha una latest version ya gb na hakikisha pia huja hide second tick na online statusNilikua nayo but nimepiga chini natumia hii nyingne Yan GBWhatsApp
huwa nashangaa tu kuona alama ya miss calls au nikipiga watokea wekundu na hajawahi mtu ku pick na nikipick mm inakatika .asante kwa kuwa concernedInakwambiaje mkuu???
Nadhani kibongo bongo huko wameblock whatsap call cha msingi ingia playstore tafuta vpn inaitwa flyvpn iweke utaenjoy mimi huwa nalonga na whatssap call sana. Hii pia nchi kama oman pia wameblock hii huduma so cha muhimu ni kutafuta vpn nzuri tuu. Ili ku unblock hizo kituhuwa nashangaa tu kuona alama ya miss calls au nikipiga watokea wekundu na hajawahi mtu ku pick na nikipick mm inakatika .asante kwa kwa concerned
Sijui niliingia sehem gani vile mkuu ila kila simu inayo hii kituUnaitiwaje mkuu Kibajajitz
Nadhani kibongo bongo huko wameblock whatsap call cha msingi ingia playstore tafuta vpn inaitwa flyvpn iweke utaenjoy mimi huwa nalonga na whatssap call sana. Hii pia nchi kama oman pia wameblock hii huduma so cha muhimu ni kutafuta vpn nzuri tuu. Ili ku unblock hizo kitu
Daah second tick cja hide ipo ila nime hide kwamba meseji imesomwa na online status cjahide ipo free tuu....Gb ndo yenye hiyo bugs. ..Hakikisha una latest version ya gb na hakikisha pia huja hide second tick na online status
Umeona eeh Amavubiama kweli hapa ni kisma cha maarifa
Nimetafuta simu nzima sijakiona aisee dah.... Au nirudi kwenye WhatsApp yangu ya kawaida nini?????Sijui niliingia sehem gani vile mkuu ila kila simu inayo hii kitu
Walaa haina vutu vingi mkuu iko free sema ndio ivyoo tenaWakati mwingine punguza mzigo uliopo kwenye app kama ma video pics na vinginevyo kwan app huwa inakua over loaded ndo vimatatizo kama hivyo hutokea
uninstall alafu download upya. Nilishawahi kupata tatizo hilo piaHili tatizo la App ya WhatsApp kutopokea meseji mpaka nifungue App husika bila kufanya hivyo sipata meseji
......MSAADA WADAU
NB😀ATA CONNECTION INAKUA ON LAKIN MESEJI HAZIINGII