geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 46
Msaada jamani ;
Nilifungua group language la whatsapp la miziki na kulitangaza vizuri tu likawa maarufu.
Niliweka maadimini kadhaa kulingana na mahitaji lakini kilichonishangaza kuna siku nimeingia kwenye grupu na kujikuta mimi siyo admini tena na adimini ni mmoja tu na maadimin wote wametolewa kabaki jamaa mwingine na nikimwabia mbona umenifanyia hivi anasema mpaka nimfungulie group lingine nimuadd kuwa admin ndipo anirudishe kuwa admini.
Je nifanyeje ili niweze kumuondoa huyu jamaa?