Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Inagoma inasemaje?
Wadau naomba mnisaidie natumia simu haina ya nokia x2-02 lakini nikitaka ku install whatsapp inagoma
.
Kila siku mnaambiwa X2-02 CANT RUN WHATSAPP HATA HAMUELEWI SIJUI TATIZO NIN
.
.
.
Soma Menu yoke Vizuri au men K wal wa mitandao Ka Vodashop Tigoshop aU Airtel
.ninatumia Nokia x2-02 na whatsapp natumia bila tatizo lol.ote lile
ninatumia Nokia x2-02 na whatsapp natumia bila tatizo lol.ote lile
Tafta nyingine
x2 zote zinatumia whatsapp cha msingi utumie mtandao unaoweza kurun faster hiyo application wakati wa installation
x2 zote zinatumia whatsapp cha msingi utumie mtandao unaoweza kurun faster hiyo application wakati wa installation
nokia e65 haina uwezo wa ku run whatsappmm nokia e-65 nimeinstall whatsapp bado inakataa kufunguka