[h=2]Supported devices:[/h]
- Nokia C3-00 · Nokia C3-01 · Nokia X2-01 · Nokia X3-02 · Nokia X2-00
- Nokia Asha: 201 · 206 Single Sim · 300 · 302 · 303 · 306 · 309 · 311
305 not supported
Nenda WhatsApp for Nokia Series 40 kwenye browser ya simu yako, itadetect kama iko compatible.
kwan Home page ya whatsapp vp mkuu?? na ktu kngne kuhusu asha baadh zna matoleo mawili noja inakua na line moja na nyngne line mbil,,.. za line mbili mara nyng hazisuport whatsapp if im not mistken
C6 nokia asha huwa zinakuja na whatsup sasa hiyo uliifuta au?
jaribu hii link Free Nokia Asha 305 / 306 WhatsApp Messenger Software Download
mkuu nokia 305 haisuport whatsapp.
Nokia 305, 306, 308, 309, 311 zinafanana sana lakini kila moja imeekwa kwa ajili ya matumizi yake.
305 na 308 ni double line zote hizi hazikubali whatsap. Nokia anaclaim double line inadeserve version ya line 2 ya watsap. Pia simu hizi pia hazina 3g.
Labda hii simu mpya 301 na itakua na whatsapp, 3g na double line.
ndo maana inaandika 2.5G, basi itabidi tu nimpe simu yake. itabidi abadili tu simu