WhatsApp, Facebook na Instagram zimerudi Hewani 5 October 2021 01:10

WhatsApp, Facebook na Instagram zimerudi Hewani 5 October 2021 01:10

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
2,005
WhatsApp, Facebook na Instagram Zimerudi hewani
Baada ya Kushutdown down kwa masaaa 6 duniani kote,

Wameanza kurudisha Instagram baada ya dakika 10 wakarudisha Facebook na WhatsApp,

Kushutdown kwa hizi apps zimekwamisha watu kwa namna moja au nyingine kwa kushindwa kuaccess mitandao hiyo kwa masaaa sita
 
Nilijua tatizo ni kwangu tu,kumbe dunia mzima,asante kwa taarifa mkuu.[emoji122]
 
Back
Top Bottom