Walieka tu option ya call ambayo sio real, yaani inakupeleka kwenye inbuilt call system ya simu yenyewe..
Yah mkuu hiyo ipo muda kidogo inakupeleka kwenye calls za kawaida
Yah mkuu hiyo ipo muda kidogo inakupeleka kwenye calls za kawaida
Mkuu Intonjanda hili swali lako nimeshalijib kule kweny uzi wetu...sorry kwa kuchelew.Nami nimekutana nayo leo kwenye cm yangu lakini nimekutana na tatizo naomba unisaidie.
1.Nikizungumza na mtu inarudisha kwangu ninachokizungumza nakisikia tena.
2.Ninachokizungumza kinachukua muda kumfikia ninayezungumza naye na pia anachozungumza yeye kinachukua muda kunifikia kama inavyokuwa mawasiliano kati ya nchi mbili tofauti au miito ya mbali...
Hayo yanasababishwa na nini !? Kwani hayaleti raha katika mawasiliano.
Msaada tafadhali. Ahsante.
Tafakari...
Kwa windows phone bado...endelea kusubir mkuuKwenye window phone ipo?
Pitia huu uzi...naamin utaelewJamani tumwagieni maujuzi hayo maana huku kitasengwa hatuelewi hiyo makitu
mkuu pejohn naweza sema umechelewa...hii kitu inazaid ya mwezi watu wanaitumia.Mara naamka si nikakuta WhatsApp wamenisogezea huduma ya kupiga simu, aisee raha kweli kama hujaipata basi update hiyo App usahau Vifurushi vya mitandao yote.
Walieka tu option ya call ambayo sio real, yaani inakupeleka kwenye inbuilt call system ya simu yenyewe..